Methali 22:10 - Swahili Revised Union Version10 Mtupe nje mwenye dharau, na ugomvi utatoka; Naam, fitina na fedheha zitakoma. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mfukuze mwenye dharau na fujo itatoweka, ugomvi na matusi vitakoma. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mfukuze mwenye dharau na fujo itatoweka, ugomvi na matusi vitakoma. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mfukuze mwenye dharau na fujo itatoweka, ugomvi na matusi vitakoma. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mfukuze mwenye dhihaka, na mvutano utatoweka; ugomvi na matukano vitakoma. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Mfukuze mwenye dhihaka, na mvutano utatoweka; ugomvi na matukano vitakoma. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Mtupe nje mwenye dharau, na ugomvi utatoka; Naam, fitina na fedheha zitakoma. Tazama sura |