Sembuse mtu ambaye ni mwenye kuchukiza na uchafu, Mwanadamu anywaye uovu kama anywavyo maji!
Methali 14:9 - Swahili Revised Union Version Wapumbavu huidharau hatia; Bali upo upendeleo kwa wenye haki. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wapumbavu huchekelea dhambi, bali wanyofu hupata fadhili kwa Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Wapumbavu huchekelea dhambi, bali wanyofu hupata fadhili kwa Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wapumbavu huchekelea dhambi, bali wanyofu hupata fadhili kwa Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Wapumbavu hudhihaki kujirekebisha kutoka dhambi, bali wema hupatikana miongoni mwa wanyofu. Neno: Maandiko Matakatifu Wapumbavu hudhihaki kujirekebisha kutoka dhambi, bali wema hupatikana miongoni mwa wanyofu. BIBLIA KISWAHILI Wapumbavu huidharau hatia; Bali upo upendeleo kwa wenye haki. |
Sembuse mtu ambaye ni mwenye kuchukiza na uchafu, Mwanadamu anywaye uovu kama anywavyo maji!
Enyi wajinga, hata lini mtapenda ujinga? Na wenye dharau kupenda dharau yao, Na wapumbavu kuchukia maarifa?
Hivyo ndivyo mwendo wa mwanamke mzinifu; Hula, akapangusa kinywa chake, Akasema, Sikufanya uovu.
Lakini asipomweza mwana-kondoo, ndipo atakapomletea BWANA hua wawili, au makinda mawili ya njiwa, kuwa ni sadaka yake ya hatia ya jambo hilo alilolikosa; mmoja wa hao ndege kwa sadaka ya dhambi, na wa pili kwa sadaka ya kuteketezwa.
ya kwamba waliwaambia ya kuwa, Wakati wa mwisho watakuwako watu wenye kudhihaki, wakizifuata tamaa za upotevu wao wenyewe.