Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 8:35 - Swahili Revised Union Version

35 Maana yeye anionaye mimi aona uzima, Naye atapata kibali kwa BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Anayenipata mimi amepata uhai, amepata upendeleo kwa Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Anayenipata mimi amepata uhai, amepata upendeleo kwa Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Anayenipata mimi amepata uhai, amepata upendeleo kwa Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Kwa maana yeyote anipataye mimi amepata uzima, na kujipatia kibali kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Kwa maana yeyote anipataye mimi amepata uzima, na kujipatia kibali kutoka kwa bwana.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

35 Maana yeye anionaye mimi aona uzima, Naye atapata kibali kwa BWANA.

Tazama sura Nakili




Methali 8:35
18 Marejeleo ya Msalaba  

Bali kila anisikilizaye atakaa salama, Naye atatulia bila kuogopa mabaya.


Mtu mwema atapata upendeleo kwa BWANA; Bali mtu wa hila atahukumiwa naye.


Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa BWANA.


Basi yatakuwa uzima kwa nafsi yako, Na neema shingoni mwako.


Ndivyo utakavyopata kibali na akili nzuri, Mbele za Mungu na mbele ya mwanadamu.


Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; Mshike, maana yeye ni uzima wako.


Maana ni uhai kwa wale wazipatao, Na afya ya mwili wao wote.


Enyi wajinga, acheni ujinga, mkaishi, Mkaende katika njia ya ufahamu.


Kwa maana ulinzi wa hekima ni kama ulinzi wa fedha na ubora wa maarifa ni kwamba hekima humhifadhi yeye aliye nayo.


Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.


Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.


Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.


Amwaminiye Mwana ana uzima wa milele; asiyemwamini Mwana hataona uzima, bali ghadhabu ya Mungu inamkalia.


Na usifiwe utukufu wa neema yake, ambayo ametuneemesha katika huyo Mpendwa.


Naam, zaidi ya hayo, nayahesabu mambo yote kuwa hasara kwa ajili ya uzuri usio na kiasi wa kumjua Kristo Yesu, Bwana wangu; ambaye kwa ajili yake nimepata hasara ya mambo yote nikiyahesabu kuwa kama mavi ili nipate Kristo;


Kwa maana mlikufa, na uhai wenu umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo