Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Methali 10:23 - Swahili Revised Union Version

23 Kwa mpumbavu kutenda maovu ni kama mchezo; Bali mtu mwenye ufahamu ana hekima.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Kwa mpumbavu kutenda maovu ni kama mchezo; lakini watu wenye busara hufurahia hekima.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Kwa mpumbavu kutenda maovu ni kama mchezo; lakini watu wenye busara hufurahia hekima.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Kwa mpumbavu kutenda maovu ni kama mchezo; lakini watu wenye busara hufurahia hekima.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Mpumbavu hufurahia hila, lakini mtu mwenye ufahamu hupendezwa na hekima.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Mpumbavu hufurahia tabia mbaya, lakini mtu mwenye ufahamu hupendezwa na hekima.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

23 Kwa mpumbavu kutenda maovu ni kama mchezo; Bali mtu mwenye ufahamu ana hekima.

Tazama sura Nakili

Methali 10:23
6 Marejeleo ya Msalaba  

Wapumbavu huidharau hatia; Bali upo upendeleo kwa wenye haki.

Upumbavu ni furaha kwake aliyepungukiwa na akili; Bali mwenye ufahamu huunyosha mwenendo wake.

Aliye na hekima moyoni ataitwa mwenye busara; Utamu wa maneno huongeza elimu.

Wafurahio kutenda mabaya; Wapendezwao na upotovu wa waovu;

Wewe kijana, uufurahie ujana wako, na moyo wako ukuchangamshe siku za ujana wako, ukaziendee njia za moyo wako, na kinachotamaniwa na macho yako, lakini ujue wewe ya kwamba kwa ajili ya hayo yote Mungu atakuleta hukumuni.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo