Methali 10:24 - Swahili Revised Union Version24 Aogopacho mtu asiye haki ndicho kitakachomjilia; Na wenye haki watapewa matakwa yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Anachoogopa mtu mwovu ndicho kitakachompata, lakini anachotamani mwadilifu ndicho atakachopewa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Anachoogopa mtu mwovu ndicho kitakachompata, lakini anachotamani mwadilifu ndicho atakachopewa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Anachoogopa mtu mwovu ndicho kitakachompata, lakini anachotamani mwadilifu ndicho atakachopewa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Kile anachoogopa mwovu ndicho kitakachompata; kile anachoonea shauku mwenye haki atapewa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Kile anachoogopa mwovu ndicho kitakachompata; kile anachoonea shauku mwenye haki atapewa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 Aogopacho mtu asiye haki ndicho kitakachomjilia; Na wenye haki watapewa matakwa yao. Tazama sura |