Methali 10:22 - Swahili Revised Union Version22 Baraka ya BWANA hutajirisha, Wala hachanganyi huzuni nayo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Baraka za Mwenyezi-Mungu ndizo ziletazo fanaka, juhudi za mtu haziongezi hapo chochote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Baraka za Mwenyezi-Mungu ndizo ziletazo fanaka, juhudi za mtu haziongezi hapo chochote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Baraka za Mwenyezi-Mungu ndizo ziletazo fanaka, juhudi za mtu haziongezi hapo chochote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Baraka ya Mwenyezi Mungu hutajirisha, wala haichanganyi na huzuni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Baraka ya bwana hutajirisha, wala haichanganyi huzuni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Baraka ya BWANA hutajirisha, Wala hachanganyi huzuni nayo. Tazama sura |