Methali 12:2 - Swahili Revised Union Version2 Mtu mwema atapata upendeleo kwa BWANA; Bali mtu wa hila atahukumiwa naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mtu mwema hufadhiliwa na Mwenyezi-Mungu, lakini mwenye nia mbaya hulaaniwa na Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mtu mwema hufadhiliwa na Mwenyezi-Mungu, lakini mwenye nia mbaya hulaaniwa na Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mtu mwema hufadhiliwa na Mwenyezi-Mungu, lakini mwenye nia mbaya hulaaniwa na Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Mtu mwema hupata kibali kutoka kwa Mwenyezi Mungu, bali Mwenyezi Mungu humhukumu mwenye hila. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Mtu mwema hupata kibali kutoka kwa bwana, bali bwana humhukumu mwenye hila. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Mtu mwema atapata upendeleo kwa BWANA; Bali mtu wa hila atahukumiwa naye. Tazama sura |