Kama ukitenda vyema, hutapata kibali? Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, lakini yapasa uishinde.
Methali 13:21 - Swahili Revised Union Version Uovu huwafuatia wenye dhambi; Bali mwenye haki atalipwa mema. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watendao dhambi huandamwa na balaa, lakini waadilifu watatuzwa mema. Biblia Habari Njema - BHND Watendao dhambi huandamwa na balaa, lakini waadilifu watatuzwa mema. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watendao dhambi huandamwa na balaa, lakini waadilifu watatuzwa mema. Neno: Bibilia Takatifu Balaa humwandama mtenda dhambi, bali mafanikio ni thawabu kwa mwenye haki. Neno: Maandiko Matakatifu Balaa humwandama mtenda dhambi, bali mafanikio ni thawabu kwa mwenye haki. BIBLIA KISWAHILI Uovu huwafuatia wenye dhambi; Bali mwenye haki atalipwa mema. |
Kama ukitenda vyema, hutapata kibali? Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, lakini yapasa uishinde.
Ikiwa, mwenye haki atalipwa duniani; Je, mwovu na mkosaji hawatalipwa mara nyingi zaidi?
Kila anayelidharau neno hujiletea uharibifu; Bali yeye anayeiogopa amri atapewa thawabu.
Kwa maana mwenye haki huanguka mara saba akaondoka tena; Bali wasio haki hukwazwa na mabaya.
Kwa sababu hiyo uovu utakupata; wala hutaweza kuuagua; na msiba utakuangukia; hutaweza kuuondoa; na ukiwa usioujua utakupata kwa ghafla.
Bwana MUNGU asema hivi; Ni jambo baya, jambo baya la namna ya peke yake; angalia, linakuja.
Lakini kama hamtaki kufanya neno hilo, ninyi mmefanya dhambi mbele za BWANA, nanyi jueni ya kwamba hiyo dhambi yenu itawapata, hapana budi.
Wenyeji walipomwona yule nyoka akilewalewa mkononi, wakaambiana, Hakosi mtu huyu ni mwuaji; ambaye ijapokuwa ameokoka katika bahari haki haimwachi kuishi.