Methali 13:13 - Swahili Revised Union Version13 Kila anayelidharau neno hujiletea uharibifu; Bali yeye anayeiogopa amri atapewa thawabu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Anayedharau mawaidha anajiletea maangamizi, lakini anayetii amri atapewa tuzo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Anayedharau mawaidha anajiletea maangamizi, lakini anayetii amri atapewa tuzo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Anayedharau mawaidha anajiletea maangamizi, lakini anayetii amri atapewa tuzo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Yeye anayedharau mafundisho anajiletea maangamizi, bali yeye anayeheshimu agizo hupewa tuzo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Yeye anayedharau mafundisho anajiletea maangamizi, bali yeye anayeheshimu agizo hupewa tuzo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Kila anayelidharau neno hujiletea uharibifu; Bali yeye anayeiogopa amri atapewa thawabu. Tazama sura |