Methali 13:12 - Swahili Revised Union Version12 Kilichotarajiwa kikikawia kuja, moyo huugua. Bali haja ya mtu ikipatikana, ni mti wa uzima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Tumaini la kungojangoja huumiza moyo, lakini tazamio linalotimia ni mti wa uhai. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Tumaini la kungojangoja huumiza moyo, lakini tazamio linalotimia ni mti wa uhai. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Tumaini la kungojangoja huumiza moyo, lakini tazamio linalotimia ni mti wa uhai. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kilichotarajiwa kikikawia kuja moyo huugua, bali tumaini lililotimizwa ni mti wa uzima. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Kilichotarajiwa kikikawia kuja moyo huugua, bali tumaini lililotimizwa ni mti wa uzima. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Kilichotarajiwa kikikawia kuja, moyo huugua. Bali haja ya mtu ikipatikana, ni mti wa uzima. Tazama sura |