Methali 13:11 - Swahili Revised Union Version11 Mali iliyopatikana kwa haraka itapunguka; Bali yeye achumaye kidogo kidogo atazidishiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Mali ya harakaharaka hutoweka, lakini akusanyaye kidogokidogo ataiongeza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Mali ya harakaharaka hutoweka, lakini akusanyaye kidogokidogo ataiongeza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Mali ya harakaharaka hutoweka, lakini akusanyaye kidogokidogo ataiongeza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Fedha isiyo ya halali hupungua, bali yeye akusanyaye fedha kidogo kidogo huongezeka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Fedha isiyo ya halali hupungua, bali yeye akusanyaye fedha kidogo kidogo huongezeka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Mali iliyopatikana kwa haraka itapunguka; Bali yeye achumaye kidogo kidogo atazidishiwa. Tazama sura |