Methali 13:21 - Swahili Revised Union Version21 Uovu huwafuatia wenye dhambi; Bali mwenye haki atalipwa mema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Watendao dhambi huandamwa na balaa, lakini waadilifu watatuzwa mema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Watendao dhambi huandamwa na balaa, lakini waadilifu watatuzwa mema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Watendao dhambi huandamwa na balaa, lakini waadilifu watatuzwa mema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Balaa humwandama mtenda dhambi, bali mafanikio ni thawabu kwa mwenye haki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Balaa humwandama mtenda dhambi, bali mafanikio ni thawabu kwa mwenye haki. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Uovu huwafuatia wenye dhambi; Bali mwenye haki atalipwa mema. Tazama sura |