BWANA akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu siku zote.
Methali 10:20 - Swahili Revised Union Version Ulimi wa mwenye haki ni kama fedha safi; Moyo wa mtu mbaya haufai kitu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maneno ya mwadilifu ni kama fedha bora; akili ya mtu mwovu haina thamani yoyote. Biblia Habari Njema - BHND Maneno ya mwadilifu ni kama fedha bora; akili ya mtu mwovu haina thamani yoyote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maneno ya mwadilifu ni kama fedha bora; akili ya mtu mwovu haina thamani yoyote. Neno: Bibilia Takatifu Ulimi wa mwenye haki ni fedha iliyo bora, bali moyo wa mwovu una thamani ndogo. Neno: Maandiko Matakatifu Ulimi wa mwenye haki ni fedha iliyo bora, bali moyo wa mwovu una thamani ndogo. BIBLIA KISWAHILI Ulimi wa mwenye haki ni kama fedha safi; Moyo wa mtu mbaya haufai kitu. |
BWANA akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu siku zote.
BWANA akasikia harufu ya kumridhisha; BWANA akasema moyoni, Sitailaani nchi tena baada ya hayo kwa sababu ya wanadamu, maana mawazo ya moyo wa mwanadamu ni mabaya tangu ujana wake; wala sitapiga tena baada ya hayo kila kilicho hai kama nilivyofanya. 1
Maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo. Akuambia, Haya, kula, kunywa; Lakini moyo wake hauwi pamoja nawe.
Matunda yangu ni bora kuliko dhahabu, naam, dhahabu safi, Na faida yangu ni bora kuliko fedha iliyo safi.