Methali 10:20 - Swahili Revised Union Version20 Ulimi wa mwenye haki ni kama fedha safi; Moyo wa mtu mbaya haufai kitu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Maneno ya mwadilifu ni kama fedha bora; akili ya mtu mwovu haina thamani yoyote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Maneno ya mwadilifu ni kama fedha bora; akili ya mtu mwovu haina thamani yoyote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Maneno ya mwadilifu ni kama fedha bora; akili ya mtu mwovu haina thamani yoyote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Ulimi wa mwenye haki ni fedha iliyo bora, bali moyo wa mwovu una thamani ndogo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Ulimi wa mwenye haki ni fedha iliyo bora, bali moyo wa mwovu una thamani ndogo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Ulimi wa mwenye haki ni kama fedha safi; Moyo wa mtu mbaya haufai kitu. Tazama sura |