Methali 8:19 - Swahili Revised Union Version19 Matunda yangu ni bora kuliko dhahabu, naam, dhahabu safi, Na faida yangu ni bora kuliko fedha iliyo safi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Matunda yangu ni mazuri kuliko dhahabu safi, faida yangu yashinda ile ya fedha bora. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Matunda yangu ni mazuri kuliko dhahabu safi, faida yangu yashinda ile ya fedha bora. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Matunda yangu ni mazuri kuliko dhahabu safi, faida yangu yashinda ile ya fedha bora. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Tunda langu ni bora kuliko dhahabu safi; kile ninachotoa hupita fedha iliyo bora. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Tunda langu ni bora kuliko dhahabu safi; kile nitoacho hupita fedha iliyo bora. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Matunda yangu ni bora kuliko dhahabu, naam, dhahabu safi, Na faida yangu ni bora kuliko fedha iliyo safi. Tazama sura |