Methali 16:13 - Swahili Revised Union Version13 Midomo ya haki ni furaha ya wafalme; Nao humpenda yeye asemaye yaliyo sawa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Mfalme hupendelea mtu asemaye kwa unyofu; humpenda mtu asemaye ukweli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Mfalme hupendelea mtu asemaye kwa unyofu; humpenda mtu asemaye ukweli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Mfalme hupendelea mtu asemaye kwa unyofu; humpenda mtu asemaye ukweli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Wafalme hufurahia midomo ya uaminifu; humthamini mtu asemaye kweli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Wafalme hufurahia midomo ya uaminifu; humthamini mtu asemaye kweli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Midomo ya haki ni furaha ya wafalme; Nao humpenda yeye asemaye yaliyo sawa. Tazama sura |