Methali 3:23 - Swahili Revised Union Version Ndipo utakapokwenda katika njia yako salama, Wala mguu wako hautakwaa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hapo utaweza kwenda zako kwa usalama, wala mguu wako hautajikwaa. Biblia Habari Njema - BHND Hapo utaweza kwenda zako kwa usalama, wala mguu wako hautajikwaa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hapo utaweza kwenda zako kwa usalama, wala mguu wako hautajikwaa. Neno: Bibilia Takatifu Kisha utaenda katika njia yako salama, wala mguu wako hautajikwaa; Neno: Maandiko Matakatifu Kisha utaenda katika njia yako salama, wala mguu wako hautajikwaa; BIBLIA KISWAHILI Ndipo utakapokwenda katika njia yako salama, Wala mguu wako hautakwaa. |
Miongoni mwao hakuna achokaye wala kukwaa; Hakuna asinziaye wala kulala usingizi; Wala mshipi wa viuno vyao hautalegea. Wala ukanda wa viatu vyao hautakatika;
Nami nitawatia nguvu katika BWANA; nao watatembea huku na huko katika jina lake, asema BWANA.