Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 6:22 - Swahili Revised Union Version

22 Uendapo yatakuongoza, ulalapo yatakulinda, Na uamkapo yatazungumza nawe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Yatakuongoza njiani mwako, yatakulinda wakati ulalapo, yatakushauri uwapo macho mchana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Yatakuongoza njiani mwako, yatakulinda wakati ulalapo, yatakushauri uwapo macho mchana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Yatakuongoza njiani mwako, yatakulinda wakati ulalapo, yatakushauri uwapo macho mchana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Unapotembea, yatakuongoza; unapolala, yatakulinda; unapoamka, yatazungumza nawe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Wakati utembeapo, yatakuongoza; wakati ulalapo, yatakulinda; wakati uamkapo, yatazungumza nawe.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

22 Uendapo yatakuongoza, ulalapo yatakulinda, Na uamkapo yatazungumza nawe.

Tazama sura Nakili




Methali 6:22
12 Marejeleo ya Msalaba  

Moyoni mwangu nimeliweka neno lako, Nisije nikakutenda dhambi.


Nakaa macho usiku kucha, Ili kuitafakari ahadi yako.


Shuhuda zako nazo ndizo furaha yangu, Na washauri wangu.


Amri zako zimekuwa nyimbo zangu, Katika nyumba yangu ya ugenini.


Jinsi gani kijana aisafishe njia yake? Kwa kutii, akilifuata neno lako.


Sheria yako naipenda mno ajabu, Ndiyo kutafakari kwangu mchana kutwa.


Kuhusu matendo ya wanadamu; Kwa neno la midomo yako Nimejiepusha na njia za wenye jeuri.


Sitayaogopa maelfu na maelfu ya watu, Waliojipanga Juu yangu pande zote.


Nitumie nuru yako na kweli yako ziniongoze, Zinifikishe kwenye mlima wako mtakatifu na hata katika maskani yako.


Busara itakulinda; Ufahamu utakuhifadhi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo