Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zekaria 10:12 - Swahili Revised Union Version

12 Nami nitawatia nguvu katika BWANA; nao watatembea huku na huko katika jina lake, asema BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Mimi nitawaimarisha watu wangu, nao watanitii na kuishi kwa kunipendeza. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Mimi nitawaimarisha watu wangu, nao watanitii na kuishi kwa kunipendeza. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Mimi nitawaimarisha watu wangu, nao watanitii na kuishi kwa kunipendeza. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Nitawaimarisha katika Mwenyezi Mungu, na katika jina lake watatembea,” asema Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Nitawaimarisha katika bwana, na katika jina lake watatembea,” asema bwana.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

12 Nami nitawatia nguvu katika BWANA; nao watatembea huku na huko katika jina lake, asema BWANA.

Tazama sura Nakili




Zekaria 10:12
18 Marejeleo ya Msalaba  

Akaniambia, BWANA, ambaye naenenda machoni pake, atatuma malaika wake pamoja nawe, atafanikisha njia yako; nawe umtwalie mwanangu mke katika jamaa zangu, na wa nyumba ya babangu.


Henoko akaenda pamoja na Mungu, naye akatoweka, maana Mungu alimtwaa.


Enyi wa nyumba ya Israeli, njoni, twende katika nuru ya BWANA.


usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kulia wa haki yangu.


Mmoja ataniambia, Kwa BWANA, peke yake, iko haki na nguvu; naam, watu watamwendea yeye, na wote waliomkasirikia watatahayarika.


Nami nitaitia nguvu mikono ya mfalme wa Babeli, na kuutia upanga wangu katika mkono wake, bali mikono ya Farao nitaivunja, naye ataugua mbele yake, kwa mauguzi ya mtu aliyetiwa jeraha la kumwua.


Kwa maana mataifa yote watakwenda, kila moja kwa jina la mungu wake, na sisi tutakwenda kwa jina la BWANA, Mungu wetu, milele na milele.


Nami nitaitia nguvu nyumba ya Yuda, nami nitaiokoa nyumba ya Yusufu, nami nitawarudisha, kwa maana nawaonea rehema; nao watakuwa kana kwamba sikuwatupa; kwa maana mimi ni BWANA, Mungu wao, nami nitawasikia.


Na wakuu wa Yuda watasema mioyoni mwao, Wenyeji wa Yerusalemu wana nguvu katika BWANA wa majeshi, Mungu wao.


Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake.


Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.


Basi kama mlivyompokea Kristo Yesu, Bwana, ishini vivyo hivyo katika yeye;


Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kupitia kwake.


ili mwende kama ilivyo wajibu wenu kwa Mungu, mwenye kuwaita ninyi ili mwingie katika ufalme wake na utukufu wake.


Iliyobaki, ndugu, tunawasihi na kuwaonya kwamba mwenende katika Bwana Yesu; kama mlivyopokea kwetu jinsi iwapasavyo kuenenda na kumpendeza Mungu, kama nanyi mnavyoenenda, vivyo hivyo mpate kuzidi sana.


Basi wewe, mwanangu, uwe hodari katika neema iliyo katika Kristo Yesu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo