Zekaria 11:1 - Swahili Revised Union Version1 Ifungue milango yako, Ee Lebanoni, Ili moto uiteketeze mierezi yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Fungua milango yako, ewe Lebanoni ili moto uiteketeze mierezi yako! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Fungua milango yako, ewe Lebanoni ili moto uiteketeze mierezi yako! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Fungua milango yako, ewe Lebanoni ili moto uiteketeze mierezi yako! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Fungua milango yako, ee Lebanoni, ili moto uteketeze mierezi yako! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Fungua milango yako, ee Lebanoni, ili moto uteketeze mierezi yako! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Ifungue milango yako, Ee Lebanoni, Ili moto uiteketeze mierezi yako. Tazama sura |
Siku hiyo nitawafanya wakuu wa Yuda kuwa kama kigae chenye moto katika kuni, na kama kinga cha moto katika miganda; nao watateketeza watu wa kila kabila, wawazungukao pande zote, upande wa mkono wa kulia na upande wa mkono wa kushoto; na baada ya haya Yerusalemu utakaa mahali pake, naam, hapo Yerusalemu.