Methali 2:8 - Swahili Revised Union Version8 Apate kuyalinda mapito ya hukumu, Na kuhifadhi njia ya watakatifu wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Huilinda mienendo ya watu watendao haki, na kuzihifadhi njia za waaminifu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Huilinda mienendo ya watu watendao haki, na kuzihifadhi njia za waaminifu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Huilinda mienendo ya watu watendao haki, na kuzihifadhi njia za waaminifu wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 kwa kuwa hulinda mwenendo wa mwenye haki na kuhifadhi njia ya waaminifu wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 kwa kuwa hulinda mwenendo wa mwenye haki na kuhifadhi njia ya waaminifu wake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Apate kuyalinda mapito ya hukumu, Na kuhifadhi njia ya watakatifu wake. Tazama sura |