Methali 3:24 - Swahili Revised Union Version24 Ulalapo hutaona hofu; Naam, utalala na usingizi wako utakuwa mtamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Ukiketi hutakuwa na hofu; ukilala utapata usingizi mtamu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Ukiketi hutakuwa na hofu; ukilala utapata usingizi mtamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Ukiketi hutakuwa na hofu; ukilala utapata usingizi mtamu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 unapolala, hutaogopa; unapolala, usingizi wako utakuwa mtamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 ulalapo, hautaogopa; ulalapo usingizi wako utakuwa mtamu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 Ulalapo hutaona hofu; Naam, utalala na usingizi wako utakuwa mtamu. Tazama sura |