Methali 3:23 - Swahili Revised Union Version23 Ndipo utakapokwenda katika njia yako salama, Wala mguu wako hautakwaa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Hapo utaweza kwenda zako kwa usalama, wala mguu wako hautajikwaa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Hapo utaweza kwenda zako kwa usalama, wala mguu wako hautajikwaa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Hapo utaweza kwenda zako kwa usalama, wala mguu wako hautajikwaa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Kisha utaenda katika njia yako salama, wala mguu wako hautajikwaa; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Kisha utaenda katika njia yako salama, wala mguu wako hautajikwaa; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Ndipo utakapokwenda katika njia yako salama, Wala mguu wako hautakwaa. Tazama sura |