Tena, mfalme akamwambia Shimei, Umejua uovu wote uliouona moyoni mwako, uliomtenda Daudi baba yangu; basi kwa hiyo BWANA atakurudishia uovu wako kichwani pako mwenyewe.
Methali 24:8 - Swahili Revised Union Version Mtu afikiriye kutenda maovu, Watu watamwita mtundu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Afikiriaye kutenda maovu daima ataitwa mtu mwenye fitina. Biblia Habari Njema - BHND Afikiriaye kutenda maovu daima ataitwa mtu mwenye fitina. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Afikiriaye kutenda maovu daima ataitwa mtu mwenye fitina. Neno: Bibilia Takatifu Yeye apangaye mabaya atajulikana kama mtu wa hila. Neno: Maandiko Matakatifu Yeye apangaye mabaya atajulikana kama mtu wa hila. BIBLIA KISWAHILI Mtu afikiriye kutenda maovu, Watu watamwita mtundu; |
Tena, mfalme akamwambia Shimei, Umejua uovu wote uliouona moyoni mwako, uliomtenda Daudi baba yangu; basi kwa hiyo BWANA atakurudishia uovu wako kichwani pako mwenyewe.
Tena vyombo vyake mlaghai ni vibaya; hutunga hila mbaya, ili kuwaangamiza wanyonge kwa maneno ya uongo, mtu mhitaji ajaposema maneno yenye haki.
wenye kusingizia, wenye kumchukia Mungu, wenye jeuri, wenye kutakabari, wenye majivuno, wenye kutunga mabaya, wasiowatii wazazi wao,