Methali 24:2 - Swahili Revised Union Version2 Kwa maana moyo wao hufikiri dhuluma, Na midomo yao huongea madhara. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 maana fikira zao zote ni juu ya ukatili, hamna jema lolote litokalo midomoni mwao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 maana fikira zao zote ni juu ya ukatili, hamna jema lolote litokalo midomoni mwao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 maana fikira zao zote ni juu ya ukatili, hamna jema lolote litokalo midomoni mwao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 kwa maana mioyo yao hupanga mambo ya jeuri, nayo midomo yao husema kuhusu kuleta madhara. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 kwa maana mioyo yao hupanga mambo ya jeuri, nayo midomo yao husema juu ya kuleta madhara. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Kwa maana moyo wao hufikiri dhuluma, Na midomo yao huongea madhara. Tazama sura |