Methali 24:3 - Swahili Revised Union Version3 Nyumba hujengwa kwa hekima, Na kwa ufahamu huthibitika, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Nyumba hujengwa kwa hekima, na kuimarishwa kwa busara. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Nyumba hujengwa kwa hekima, na kuimarishwa kwa busara. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Nyumba hujengwa kwa hekima, na kuimarishwa kwa busara. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kwa hekima nyumba hujengwa, nayo kupitia ufahamu huimarishwa; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kwa hekima nyumba hujengwa, nayo kwa njia ya ufahamu huimarishwa Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Nyumba hujengwa kwa hekima, Na kwa ufahamu huthibitika, Tazama sura |