1 Wafalme 2:44 - Swahili Revised Union Version44 Tena, mfalme akamwambia Shimei, Umejua uovu wote uliouona moyoni mwako, uliomtenda Daudi baba yangu; basi kwa hiyo BWANA atakurudishia uovu wako kichwani pako mwenyewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema44 Mfalme aliendelea kumwambia Shimei, “Unayajua wazi maovu uliyomtendea baba yangu Daudi, na sasa, kwa sababu ya hayo, Mwenyezi-Mungu atakuadhibu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND44 Mfalme aliendelea kumwambia Shimei, “Unayajua wazi maovu uliyomtendea baba yangu Daudi, na sasa, kwa sababu ya hayo, Mwenyezi-Mungu atakuadhibu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza44 Mfalme aliendelea kumwambia Shimei, “Unayajua wazi maovu uliyomtendea baba yangu Daudi, na sasa, kwa sababu ya hayo, Mwenyezi-Mungu atakuadhibu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu44 Pia mfalme akamwambia Shimei, “Unajua moyoni mwako makosa yote uliyomtendea baba yangu Daudi. Sasa Mwenyezi Mungu atakulipiza kwa ajili ya mabaya yako uliyotenda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu44 Pia mfalme akamwambia Shimei, “Unajua katika moyo wako makosa uliyomtendea baba yangu Daudi. Sasa bwana atakulipiza kwa ajili ya mabaya yako uliyotenda. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI44 Tena, mfalme akamwambia Shimei, Umejua uovu wote uliouona moyoni mwako, uliomtenda Daudi baba yangu; basi kwa hiyo BWANA atakurudishia uovu wako kichwani pako mwenyewe. Tazama sura |
Naye Daudi aliposikia ya kwamba Nabali amekufa, alisema, Na ahimidiwe BWANA ambaye amenitetea teto la shutumu langu mkononi mwa Nabali, na kumzuia mtumishi wake asitende maovu; tena uovu wake Nabali BWANA amemrudishia juu ya kichwa chake mwenyewe. Kisha Daudi akatuma watu, akamposa Abigaili ili amwoe.