Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Wafalme 2:45 - Swahili Revised Union Version

45 Ila mfalme Sulemani atakuwa amebarikiwa, na kiti cha enzi cha Daudi kitathibitika mbele za BWANA hata milele.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

45 Lakini mimi atanibariki, na kiti cha enzi cha Daudi kitaimarishwa mbele ya Mwenyezi-Mungu milele.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

45 Lakini mimi atanibariki, na kiti cha enzi cha Daudi kitaimarishwa mbele ya Mwenyezi-Mungu milele.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

45 Lakini mimi atanibariki, na kiti cha enzi cha Daudi kitaimarishwa mbele ya Mwenyezi-Mungu milele.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

45 Lakini Mfalme Sulemani atabarikiwa, na kiti cha ufalme cha Daudi kitaimarishwa mbele za Mwenyezi Mungu milele.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

45 Lakini Mfalme Sulemani atabarikiwa, na kiti cha ufalme cha Daudi kitakuwa imara mbele za bwana milele.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

45 Ila mfalme Sulemani atakuwa amebarikiwa, na kiti cha enzi cha Daudi kitathibitika mbele za BWANA hata milele.

Tazama sura Nakili

1 Wafalme 2:45
9 Marejeleo ya Msalaba  

Yeye ndiye atakayejenga nyumba kwa jina langu, nacho kiti cha enzi cha ufalme wake nitakiimarisha milele.

Basi kwa hiyo, BWANA aishivyo, aliyenithibitisha na kunikalisha katika kiti cha enzi cha Daudi baba yangu, akanifanyia nyumba, kama alivyoahidi, hakika atauawa leo hivi Adonia.

nawe sasa umekuwa radhi kuibarikia nyumba ya mtumishi wako, ipate kudumu milele mbele zako; kwa maana wewe, BWANA, umebarikia, nayo imebarikiwa milele.

Alikuomba uhai, ukampa, Muda mrefu wa siku nyingi, milele na milele.

Maana umemfanya kuwa baraka za milele, Wamfurahisha kwa furaha ya uso wako.

Jina lake na lidumu milele, Pindi ling'aapo jua, umaarufu wake uwepo; Mataifa yote na wabarikiwe katika yeye, Na kumwita heri.

Mwondoe asiye haki mbele ya mfalme, Na kiti chake cha enzi kitathibitika katika haki.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo