1 Wafalme 2:46 - Swahili Revised Union Version46 Basi mfalme akamwamuru Benaya, mwana wa Yehoyada; naye akatoka, akampiga, hata akafa. Nao ufalme ukawa imara mkononi mwa Sulemani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema46 Hapo, mfalme akamwamuru Benaya mwana wa Yehoyada, naye akatoka, akampiga na kumuua Shimei. Basi, ufalme ukaimarika chini ya Solomoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND46 Hapo, mfalme akamwamuru Benaya mwana wa Yehoyada, naye akatoka, akampiga na kumuua Shimei. Basi, ufalme ukaimarika chini ya Solomoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza46 Hapo, mfalme akamwamuru Benaya mwana wa Yehoyada, naye akatoka, akampiga na kumuua Shimei. Basi, ufalme ukaimarika chini ya Solomoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu46 Kisha mfalme akatoa amri kwa Benaya mwana wa Yehoyada, naye akatoka nje, akamgonga Shimei na kumuua. Sasa ufalme ukawa umeimarika mikononi mwa Sulemani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu46 Kisha mfalme akatoa amri kwa Benaya mwana wa Yehoyada, naye akatoka nje, akampiga Shimei na kumuua. Sasa ufalme ukawa umeimarika kikamilifu mikononi mwa Sulemani. Tazama sura |