Methali 24:9 - Swahili Revised Union Version9 Fikira za mpumbavu ni dhambi, Na mwenye mzaha huwachukiza watu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Mpango anaofikiria mpumbavu ni dhambi; mwenye dharau huchukiwa na kila mtu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mpango anaofikiria mpumbavu ni dhambi; mwenye dharau huchukiwa na kila mtu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mpango anaofikiria mpumbavu ni dhambi; mwenye dharau huchukiwa na kila mtu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Mipango ya upumbavu ni dhambi, watu huchukizwa na mwenye dhihaka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Mipango ya upumbavu ni dhambi, watu huchukizwa na mwenye dhihaka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Fikira za mpumbavu ni dhambi, Na mwenye mzaha huwachukiza watu. Tazama sura |