Methali 24:10 - Swahili Revised Union Version10 Ukizimia siku ya taabu, Nguvu zako ni chache. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Ukifa moyo wakati wa shida, basi wewe ni dhaifu kweli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Ukifa moyo wakati wa shida, basi wewe ni dhaifu kweli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Ukifa moyo wakati wa shida, basi wewe ni dhaifu kweli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Ukikata tamaa wakati wa taabu, jinsi gani nguvu zako ni kidogo! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Ukikata tamaa wakati wa taabu, jinsi gani nguvu zako ni kidogo! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Ukizimia siku ya taabu, Nguvu zako ni chache. Tazama sura |