Methali 24:11 - Swahili Revised Union Version11 Uwaokoe wanaochukuliwa ili wauawe; Nao walio tayari kuchinjwa uwaopoe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Mwokoe mtu anayechukuliwa kuuawa bure; usisite kumwokoa anayeuawa bila hatia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Mwokoe mtu anayechukuliwa kuuawa bure; usisite kumwokoa anayeuawa bila hatia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Mwokoe mtu anayechukuliwa kuuawa bure; usisite kumwokoa anayeuawa bila hatia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Okoa wale wanaoongozwa kwenye kifo; wazuie wote wanaojikokota kuelekea machinjoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Okoa wale wanaoongozwa kwenye kifo; wazuie wote wanaojikokota kuelekea machinjoni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Uwaokoe wanaochukuliwa ili wauawe; Nao walio tayari kuchinjwa uwaopoe. Tazama sura |