Methali 14:22 - Swahili Revised Union Version22 Je! Hawakosi wawazao mabaya? Bali fadhili na kweli zina wao wawazao mema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Anayepanga maovu kweli anakosea! Wanaopanga kutenda mema hufadhiliwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Anayepanga maovu kweli anakosea! Wanaopanga kutenda mema hufadhiliwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Anayepanga maovu kweli anakosea! Wanaopanga kutenda mema hufadhiliwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Je, wale wanaopanga ubaya hawapotoki? Bali wale wanaopanga kilicho chema hupata upendo na uaminifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Je, wale wanaopanga ubaya hawapotoki? Bali wale wanaopanga kilicho chema hupata upendo na uaminifu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Je! Hawakosi wawazao mabaya? Bali fadhili na kweli zina wao wawazao mema. Tazama sura |