Methali 14:21 - Swahili Revised Union Version21 Amdharauye mwenzake afanya dhambi; Bali amhurumiaye maskini ana heri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Anayemdharau jirani yake ni mwenye dhambi, bali ana heri aliye mwema kwa maskini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Anayemdharau jirani yake ni mwenye dhambi, bali ana heri aliye mwema kwa maskini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Anayemdharau jirani yake ni mwenye dhambi, bali ana heri aliye mwema kwa maskini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Yeye anayemdharau jirani yake hutenda dhambi, bali amebarikiwa yeye aliye na huruma kwa mhitaji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Yeye anayemdharau jirani yake hutenda dhambi, bali amebarikiwa yeye aliye na huruma kwa mhitaji. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Amdharauye mwenzake afanya dhambi; Bali amhurumiaye maskini ana heri. Tazama sura |