Methali 21:23 - Swahili Revised Union Version Mtu azuiaye kinywa chake na ulimi wake, Atajilinda nafsi yake na taabu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Achungaye mdomo wake na ulimi wake, hujiepusha na matatizo. Biblia Habari Njema - BHND Achungaye mdomo wake na ulimi wake, hujiepusha na matatizo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Achungaye mdomo wake na ulimi wake, hujiepusha na matatizo. Neno: Bibilia Takatifu Yeye alindaye kinywa chake na ulimi wake hujilinda na maafa. Neno: Maandiko Matakatifu Yeye alindaye kinywa chake na ulimi wake hujilinda na maafa. BIBLIA KISWAHILI Mtu azuiaye kinywa chake na ulimi wake, Atajilinda nafsi yake na taabu. |
Katika wingi wa maneno hapakosi kuwa na maovu; Bali yeye azuiaye midomo yake hufanya akili.
Yeye alindaye kinywa chake huilinda nafsi yake; Bali afunuaye midomo yake atapata uharibifu.
Njia kuu ya mwenye haki ni kujitenga na uovu; Yeye ashikaye njia yake huihifadhi nafsi yake.
Mtu akidhani ya kuwa anayo dini, wala hauzuii ulimi wake kwa hatamu, ili hali akijidanganya moyo wake, dini yake mtu huyo haifai.