Methali 21:22 - Swahili Revised Union Version22 Mwenye hekima huupandia mji wao wenye nguvu; Na kuziangusha nguvu za tumaini lao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Mwenye hekima aweza kuteka mji wa wenye nguvu, na kuziporomosha ngome wanazozitegemea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Mwenye hekima aweza kuteka mji wa wenye nguvu, na kuziporomosha ngome wanazozitegemea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Mwenye hekima aweza kuteka mji wa wenye nguvu, na kuziporomosha ngome wanazozitegemea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Mtu mwenye hekima huushambulia mji wa wenye nguvu, na kuangusha ngome wanazozitegemea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Mtu mwenye hekima huushambulia mji wa wenye nguvu, na kuangusha ngome wanazozitegemea. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Mwenye hekima huupandia mji wao wenye nguvu; Na kuziangusha nguvu za tumaini lao. Tazama sura |