Methali 2:12 - Swahili Revised Union Version Ili kukuokoa na njia ya uovu, Na watu wanenao yaliyopotoka; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema vitakuepusha na njia ya uovu, na watu wa maneno mapotovu; Biblia Habari Njema - BHND vitakuepusha na njia ya uovu, na watu wa maneno mapotovu; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza vitakuepusha na njia ya uovu, na watu wa maneno mapotovu; Neno: Bibilia Takatifu Hekima itakuokoa kutoka njia za waovu, kutoka kwa watu ambao maneno yao yamepotoka, Neno: Maandiko Matakatifu Hekima itakuokoa kutoka njia za waovu, kutoka kwa watu ambao maneno yao yamepotoka, BIBLIA KISWAHILI Ili kukuokoa na njia ya uovu, Na watu wanenao yaliyopotoka; |
Usiuelekeze moyo wangu kunako jambo baya, Nisiyazoelee matendo yasiyofaa, Pamoja na watu watendao maovu; Wala nisile vyakula vyao vya anasa.
Midomo ya mwenye haki huyajua yatakayokubaliwa; Bali kinywa chao wasio haki hunena ukaidi.
Kumcha BWANA ni kuchukia uovu; Kiburi na majivuno, na njia mbovu, Na kinywa cha ukaidi pia nakichukia.
tena katika ninyi wenyewe watainuka watu wakisema mapotovu, wawavute hao wanafunzi wawafuatie wao.
Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.