Methali 3:32 - Swahili Revised Union Version32 Maana mtu mjeuri ni chukizo kwa BWANA, Bali siri yake ni pamoja na wanyofu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Maana waovu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu; lakini yeye huwafanya marafiki zake wale walio wanyofu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Maana waovu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu; lakini yeye huwafanya marafiki zake wale walio wanyofu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Maana waovu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu; lakini yeye huwafanya marafiki zake wale walio wanyofu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 kwa kuwa Mwenyezi Mungu humchukia mtu mpotovu, lakini siri yake iko kwa mwenye haki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 kwa kuwa bwana humchukia mtu mpotovu, lakini siri yake iko kwa mwenye haki. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI32 Maana mtu mjeuri ni chukizo kwa BWANA, Bali siri yake ni pamoja na wanyofu. Tazama sura |