Basi mfalme akaniambia, Mbona umesikitika uso wako, nawe huna ugonjwa? Nini hii, isipokuwa ni huzuni ya moyo? Ndipo nikaogopa sana.
Methali 15:13 - Swahili Revised Union Version Moyo wa furaha huchangamsha uso; Bali kwa huzuni ya moyo roho hupondeka. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Moyo wa furaha hungarisha uso, lakini uchungu huvunja moyo. Biblia Habari Njema - BHND Moyo wa furaha hungarisha uso, lakini uchungu huvunja moyo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Moyo wa furaha hung'arisha uso, lakini uchungu huvunja moyo. Neno: Bibilia Takatifu Moyo wenye furaha hufanya uso uchangamke, bali maumivu ya moyoni huponda roho. Neno: Maandiko Matakatifu Moyo wenye furaha hufanya uso uchangamke, bali maumivu ya moyoni huponda roho. BIBLIA KISWAHILI Moyo wa furaha huchangamsha uso; Bali kwa huzuni ya moyo roho hupondeka. |
Basi mfalme akaniambia, Mbona umesikitika uso wako, nawe huna ugonjwa? Nini hii, isipokuwa ni huzuni ya moyo? Ndipo nikaogopa sana.
Roho ya mtu itastahimili udhaifu wake; Bali roho iliyovunjika nani awezaye kuistahimili?
Kwa maana kujisifu kwetu ni huku, ushuhuda wa dhamiri yetu, ya kwamba kwa utakatifu na weupe wa moyo utokao kwa Mungu; si kwa hekima ya mwili, bali kwa neema ya Mungu; tulienenda katika dunia, na hasa kwenu ninyi.
hata kinyume cha hayo, ni afadhali mmsamehe na kumfariji, mtu kama huyo asije akamezwa katika huzuni yake ipitayo kiasi.
Maana huzuni iliyo kwa jinsi ya Mungu hufanya toba iletayo wokovu isiyo na majuto; bali huzuni ya dunia hufanya mauti.