Methali 15:14 - Swahili Revised Union Version14 Moyo wa mwenye ufahamu hutafuta maarifa; Bali kinywa cha wapumbavu hula upumbavu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Mwenye busara hutafuta maarifa, lakini wapumbavu hujilisha upuuzi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Mwenye busara hutafuta maarifa, lakini wapumbavu hujilisha upuuzi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Mwenye busara hutafuta maarifa, lakini wapumbavu hujilisha upuuzi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Moyo wa mwenye ufahamu hutafuta maarifa, bali kinywa cha mpumbavu hujilisha upumbavu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Moyo wa mwenye ufahamu hutafuta maarifa, bali kinywa cha mpumbavu hujilisha upumbavu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Moyo wa mwenye ufahamu hutafuta maarifa; Bali kinywa cha wapumbavu hula upumbavu. Tazama sura |