Methali 15:15 - Swahili Revised Union Version15 Siku zote za mtu ateswaye ni mbaya; Bali ukunjufu wa moyo ni karamu ya daima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Kwa mnyonge kila siku ni mbaya, lakini kwa mwenye moyo mchangamfu ni sikukuu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Kwa mnyonge kila siku ni mbaya, lakini kwa mwenye moyo mchangamfu ni sikukuu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Kwa mnyonge kila siku ni mbaya, lakini kwa mwenye moyo mchangamfu ni sikukuu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Siku zote za wanaoteswa ni za taabu, bali moyo mchangamfu una karamu ya kudumu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Siku zote za wanaoonewa ni za taabu, bali moyo mchangamfu una karamu ya kudumu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Siku zote za mtu ateswaye ni mbaya; Bali ukunjufu wa moyo ni karamu ya daima. Tazama sura |