Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Methali 15:16 - Swahili Revised Union Version

16 Kuwa na mali chache pamoja na kumcha BWANA; Ni bora kuliko mali nyingi pamoja na taabu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Afadhali kuwa na kidogo na kumcha Mwenyezi-Mungu, kuliko kuwa na mali nyingi pamoja na taabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Afadhali kuwa na kidogo na kumcha Mwenyezi-Mungu, kuliko kuwa na mali nyingi pamoja na taabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Afadhali kuwa na kidogo na kumcha Mwenyezi-Mungu, kuliko kuwa na mali nyingi pamoja na taabu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Afadhali kuwa na kidogo pamoja na kumcha Mwenyezi Mungu, kuliko mali nyingi pamoja na ghasia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Afadhali kuwa na kidogo pamoja na kumcha bwana, kuliko mali nyingi pamoja na ghasia.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

16 Kuwa na mali chache pamoja na kumcha BWANA; Ni bora kuliko mali nyingi pamoja na taabu.

Tazama sura Nakili

Methali 15:16
11 Marejeleo ya Msalaba  

Kidogo alicho nacho mwenye haki ni bora Kuliko wingi wa mali wa wasio haki wengi.

Baraka ya BWANA hutajirisha, Wala hachanganyi huzuni nayo.

Siku zote za mtu ateswaye ni mbaya; Bali ukunjufu wa moyo ni karamu ya daima.

Afadhali mali kidogo pamoja na haki, Kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu.

Afadhali mego kavu pamoja na utulivu, Kuliko nyumba yenye karamu nyingi pamoja na magomvi.

Afadhali maskini aendaye katika unyofu wake, Kuliko mpotovu wa njia angawa ni tajiri.

Heri konzi moja pamoja na utulivu, Kuliko konzi mbili pamoja na taabu; na kufukuza upepo.

Lakini utauwa pamoja na kuridhika ni faida kubwa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo