Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 15:17 - Swahili Revised Union Version

17 Chakula cha mboga palipo na upendo; Ni bora kuliko ng'ombe aliyenona pamoja na kuchukiana.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Afadhali mlo wa jioni wa mchicha na upendo, kuliko karamu ya nyama nono pamoja na chuki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Afadhali mlo wa jioni wa mchicha na upendo, kuliko karamu ya nyama nono pamoja na chuki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Afadhali mlo wa jioni wa mchicha na upendo, kuliko karamu ya nyama nono pamoja na chuki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Afadhali chakula cha mboga mahali palipo na upendo, kuliko nyama ya ndama aliyenona pamoja na chuki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Afadhali chakula cha mboga mahali palipo na upendo kuliko nyama ya ndama iliyonona pamoja na chuki.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

17 Chakula cha mboga palipo na upendo; Ni bora kuliko ng'ombe aliyenona pamoja na kuchukiana.

Tazama sura Nakili




Methali 15:17
9 Marejeleo ya Msalaba  

Afadhali mali kidogo pamoja na haki, Kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu.


Afadhali mego kavu pamoja na utulivu, Kuliko nyumba yenye karamu nyingi pamoja na magomvi.


Ni afadhali kukaa katika nchi ya nyika; Kuliko na mwanamke mgomvi, mchokozi.


Heri konzi moja pamoja na utulivu, Kuliko konzi mbili pamoja na taabu; na kufukuza upepo.


Akatuma tena watu kwa wengine, akisema, Waambieni wale walioalikwa, Tazameni, nimeandaa karamu yangu; ng'ombe zangu na vinono vimekwisha kuchinjwa, na vyote vimekuwa tayari, njoni arusini.


mleteni ndama yule aliyenona mkamchinje; nasi tule na kufurahi;


Basi ikiwako faraja yoyote katika Kristo, yakiwako matulizo yoyote ya mapenzi, ukiwako ushirika wowote wa Roho, ikiwako huruma yoyote na rehema,


Nasi tumelifahamu pendo alilo nalo Mungu kwetu sisi, na kuliamini. Mungu ni upendo, naye akaaye katika pendo, hukaa ndani ya Mungu, na Mungu hukaa ndani yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo