Methali 14:30 - Swahili Revised Union Version30 Moyo ulio mzima ni uhai wa mwili; Bali husuda ni ubovu wa mifupa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Amani rohoni humpa mtu afya, lakini tamaa huozesha mifupa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Amani rohoni humpa mtu afya, lakini tamaa huozesha mifupa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Amani rohoni humpa mtu afya, lakini tamaa huozesha mifupa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Moyo wenye amani huupa mwili uzima, bali wivu huozesha mifupa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Moyo wenye amani huupa mwili uzima, bali wivu huozesha mifupa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI30 Moyo ulio mzima ni uhai wa mwili; Bali husuda ni ubovu wa mifupa. Tazama sura |