Methali 11:3 - Swahili Revised Union Version Ukamilifu wao wenye haki utawaongoza Bali ukaidi wao wenye fitina utawaangamiza. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Unyofu wa watu wema huwaongoza, upotovu wa wenye hila huwaangamiza. Biblia Habari Njema - BHND Unyofu wa watu wema huwaongoza, upotovu wa wenye hila huwaangamiza. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Unyofu wa watu wema huwaongoza, upotovu wa wenye hila huwaangamiza. Neno: Bibilia Takatifu Uadilifu wa wenye haki huwaongoza, bali wasio waaminifu huangamizwa na hila yao. Neno: Maandiko Matakatifu Uadilifu wa wenye haki huwaongoza, bali wasio waaminifu huharibiwa na hila yao. BIBLIA KISWAHILI Ukamilifu wao wenye haki utawaongoza Bali ukaidi wao wenye fitina utawaangamiza. |
Ee BWANA, unihukumu mimi, Maana nimekwenda kwa ukamilifu wangu, Nami nimemtumaini BWANA bila wasiwasi.
Lakini waasi na wenye dhambi wote wataangamizwa pamoja, nao wamwachao BWANA watateketezwa.
Nao wafalme wa Midiani wakawaua pamoja na watu wengine waliouawa; Evi, na Rekemu, na Suri, na Huri, na Reba, hao wafalme watano wa Midiani; Balaamu mwana wa Beori naye wakamwua kwa upanga.
Mtu akipenda kuyatenda mapenzi yake, atajua habari ya yale mafunzo, kwamba yatoka kwa Mungu, au kwamba mimi nanena kwa nafsi yangu tu.