Methali 11:3 - Swahili Revised Union Version3 Ukamilifu wao wenye haki utawaongoza Bali ukaidi wao wenye fitina utawaangamiza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Unyofu wa watu wema huwaongoza, upotovu wa wenye hila huwaangamiza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Unyofu wa watu wema huwaongoza, upotovu wa wenye hila huwaangamiza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Unyofu wa watu wema huwaongoza, upotovu wa wenye hila huwaangamiza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Uadilifu wa wenye haki huwaongoza, bali wasio waaminifu huangamizwa na hila yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Uadilifu wa wenye haki huwaongoza, bali wasio waaminifu huharibiwa na hila yao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Ukamilifu wao wenye haki utawaongoza Bali ukaidi wao wenye fitina utawaangamiza. Tazama sura |