Methali 11:2 - Swahili Revised Union Version2 Kijapo kiburi ndipo ijapo aibu; Bali hekima hukaa na wanyenyekevu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Kiburi huandamana na fedheha, lakini kwa watu wanyenyekevu mna hekima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Kiburi huandamana na fedheha, lakini kwa watu wanyenyekevu mna hekima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Kiburi huandamana na fedheha, lakini kwa watu wanyenyekevu mna hekima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Kiburi kinapokuja, ndipo huja aibu, bali unyenyekevu huja na hekima. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Kiburi kinapokuja, ndipo huja aibu, bali unyenyekevu huja na hekima. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Kijapo kiburi ndipo ijapo aibu; Bali hekima hukaa na wanyenyekevu. Tazama sura |