Methali 11:1 - Swahili Revised Union Version1 Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa BWANA; Bali vipimo vilivyo sawasawa humpendeza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini matumizi ya kipimo halali ni furaha kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini matumizi ya kipimo halali ni furaha kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini matumizi ya kipimo halali ni furaha kwake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mwenyezi Mungu huchukia sana mizani za udanganyifu, bali vipimo sahihi ni furaha yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 bwana huchukia sana mizani za udanganyifu, bali vipimo sahihi ni furaha yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa BWANA; Bali vipimo vilivyo sawasawa humpendeza. Tazama sura |