Methali 11:4 - Swahili Revised Union Version4 Mali hazifaidii kitu siku ya ghadhabu; Bali haki huokoa na mauti. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Utajiri haufai kitu siku ya ghadhabu, lakini uadilifu huokoa kutoka kifo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Utajiri haufai kitu siku ya ghadhabu, lakini uadilifu huokoa kutoka kifo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Utajiri haufai kitu siku ya ghadhabu, lakini uadilifu huokoa kutoka kifo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Utajiri haufaidi kitu katika siku ya ghadhabu, bali haki huokoa kutoka mautini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Utajiri haufaidi kitu katika siku ya ghadhabu, bali haki huokoa kutoka mautini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Mali hazifaidii kitu siku ya ghadhabu; Bali haki huokoa na mauti. Tazama sura |