Methali 19:3 - Swahili Revised Union Version3 Upumbavu wa mtu hupotosha njia yake; Na moyo wake hununa juu ya BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mtu akijiangamiza kwa upumbavu wake, huielekeza hasira yake dhidi ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mtu akijiangamiza kwa upumbavu wake, huielekeza hasira yake dhidi ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mtu akijiangamiza kwa upumbavu wake, huielekeza hasira yake dhidi ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Upumbavu wa mtu mwenyewe huharibu maisha yake hata hivyo moyo wake humkasirikia Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Upumbavu wa mtu mwenyewe huharibu maisha yake hata hivyo moyo wake humkasirikia bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Upumbavu wa mtu hupotosha njia yake; Na moyo wake hununa juu ya BWANA. Tazama sura |